English

StraightBook Inaongoza Kwa Kukuwezesha Kuset Kutumia Unavyotaka

Hii Ni Kweli Kabisa. Unaweza Kuchagua Kitu Chochote Unachotaka Kutumia Na Kuondoa Usichotaka Kutumia au Kuongeza Utakavyo Wewe. Unaweza Kupanga Mtumiaji Gani Aweze Kufanya Nini Katika Akaunti Yako Katika Mambo Yote Yanayopatikana Katika Mfumo Huu Tofauti Na Mifumo Mingine Inayokuwezesha Kuset Katika Baadhi Ya Mambo Tu.



Si Kwamba Mifumo Mingine Hauwezi Kuseti Kabisa Mambo Unayohitaji Kuyatumia, Ila Ukweli Ni Kwamba Unaweza Ukaseti Mambo Machache Tu.

Ili Kujiridhisha Kwa Hilo, Bonyeza Hapa Kuona DEMO Ya StraightBook Kisha Angalia Mipangilio (Settings) Inayopatikana Katika StraightBook Kisha Nenda Katika Mifumo Mingine Maarufu Ya Biashara Ifuatayo Kisha Jisajili Kujaribu Ili Uone Mipangilio (Settings) Inayopatikana Katika Mifumo Hiyo Ili Ulinganishe na StraightBook!

1: FreshBooks ,
2: QuickBooks Online ,
3: Xero ,
4: ClearBooks ,
5: Wave Accounting ,
6: Intacct ,
7: Move2Clouds ,
8: Big4Books ,
9: Sage One ,
10: Zoho Books ,
11: Free Agent ,
12: AccountEdge