English
Mambo Yaliyopo StraightBook

Ripoti Zaidi Ya 300+ Unazoweza Kuprinti (Katika Mchoro Na Kawaida)

Inaweza Kutumiwa Katika Biashara Yoyote Inayouza Bidhaa, Huduma au Bidhaa Na Huduma Kwa Pamoja

Unaweza Kuingia na Kuona Popote Utakapokuwa Na Kwa Kutumia Simu, Computer, Tablet na PDA

Mambo Yahusuyo Stock Na Usimamizi Wake

Mauzo (Cash & Mkopo)

Faida Na Hasara

Ripoti Za VAT

Mahala Bidhaa Zinapowekwa

Miamala Ya Kifedha (Benki, M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money)

Madeni Ya Supplier, Madeni Ya Wateja, Matumizi, Bajeti, Na Target Za Mauzo

Malipo Ya Advansi Na Mauzo Mkopo

Mtaji, Mauzo Yanayotazamiwa Na Faida Ya Biashara Yako Yote

Mambo Yanayohusu Malipo Ya Wafanyakazi (Payroll)

Aseti Na Mikopo Ya Biashara Unayokopa Benki au Kwa Mtu Yoyote Na Usimamizi Wake

Mambo Ya Masoko Na Upangaji Wa Majukumu Kwa Wafanyakazi

Specialized Features For Various Business Categories

Ubadilishaji Fedha Na Kukokotoa Chenji Ya Mteja

Document Za Kibiashara: Risiti, Invoice, Delivery Note, Sales& Purchase Orders, Stock List, Price List, Customer List, Suppliers List,Out Of Stock Items List etc

NoteBook Ya Kidijitali Ya Kutunzia Kumbukumbu Mbalimbali

Lugha Mbili: English Na Kiswahili

Inatunza Data Zako Sehemu Salama Kila Siku Ili Usizipoteze
+Na Mengine Mengi ...............